Wednesday, January 15, 2014

Video: Macklemore & Ryan Lewis watumbuiza kwa surprise ndani ya basi jijini New York


Pamoja na mafanikio yao, Macklemore & Ryan Lewis hawajasau walikotoka. Wawili hao kutoka Seattle waliwafanyia surprise ya mwaka abiria wa basi jijini New York kwa kutumbuiza live wakati basi hilo likiendelea na safari ikiwa ni moja ya kampeni Grammy ya Music Unleashes.



Wasanii hao watakatumbuiza January 26 mwaka huu kwenye tuzo za Grammy walitumbuiza wimbo wao “Can’t Hold Us” na kuwapa raha abiria hao.



No comments:

Post a Comment

ShareThis