Sunday, February 16, 2014

Je unajua ni sehemu gani ya Tanzania ambayo msanii Avril wa kenya anatajia kufanyia harusi yake hivi karibuni?


 
Msanii wa kike kutoka nchini kenya , Avril anategemea kufunga pingu za maisha mwezi wa nne mwaka huu. Avril ataolewa na mchumba wake mtoto wa tajiri kutoka 
South Africa ambaye familia yao inamiliki machimbo ya madini nchi za South Africa na Zimbambe.

Avril_fiance

Harusi hiyo inategemea kufugwa hapahapa Tanzania katika kisiwa cha zanzibar . Wameamua kuchagua Tanzania ili kubalance pande mbili na mwezi wa 4 sababu ndio mwezi aliozaliwa avril.
Avril Vodacom

Avril alishawahi post katika mitandao ya kijamii mwishoni mwa mwaka jana picha ya pete yake ya uchumba aliyovishwa na mpenzi wake, lakini mashabiki wa msanii huyo walikuwa wana hamu ya kumjua au kuona picha ya mvulana ambaye amebahatika kumvisha pete ya uchumba mwana dada Avril.
avril pete

No comments:

Post a Comment

ShareThis