Sunday, February 16, 2014

Tazama Msanii Huyu mkubwa wa bongo fleva anusurika kifo kwa ajali usiku wa Valantine

Siku ya Valentines day watu walikua wakienjoy na wapenzi wao lakini kwa rapper mkali wa Bongo, Mshindi wa tuzo za kilimanjaro Music Awards , Balozi wa kinywaji cha pepsi Kala Jeremiah ilikua tofauti kwake wakati akitoka kwenye show ya valentine club east 24 .
Kala-Jeremiah-Ajali

Kala alipost picha hii ya ajali na kuandika hivi “nIMEPATA AJALI USIKU HUU NIKIWA NATOKEA CLUB EAST 24 AMBAKO NILIKUWA NAFANYA SHOW NA B BAND WAKATI NARUDI NYUMBANI GHAFLA KUNA MTU WA PIKIPIKI AKAWA ANATAKA KUINGIA NIKAJARIBU KUMKWEPA GARI ILIKUA MWENDO KASI KIDOGO IKAYUMBA KWENDA KULIA NIKAIRUDISHA IKARUDI ZAIDI KUSHOTO NIKAIRUDISHA TENA KULIA IKAWA INATAKA KWENDA MTARONI NIKAIRUDISHA TENA KUSHOTO AMBAKO ILIGEUKA ILIKUKUA INATOKA NA KUINGIA MTARONI AMBAKO ILIKITA NA KUVUNJA MLANGO WA UPANDE WANGU.SIJAAMINI KAMA NIMETOKA BILA HATA JERAHA MGUUNI WALA MAUMIVU ZAIDI YA YALE UA KICHWANI KIDOGO NILIYOJIGONGEA KWENYE MLANGO KWA JUU.AHSANTE SANA MUNGU UMENIOKOA.ASANTE SANA MUNGU WANGU.”
kala jeremiah

No comments:

Post a Comment

ShareThis