Thursday, September 18, 2014

Mwisho mwampamba na mkewe Mnamibia Meryl wa ‘BBA’ wapata mtoto wao pili wa kiume


Mtangazaji wa kipindi cha ‘Boys Boys’ cha TV 1, Mwisho Mwampamba na mkewe Meryl ambaye walikutana na kuanzisha mahusiano kwenye Big Brother Africa ‘All stars’, wamefanikiwa kupata mtoto wao wa pili kama couple.
meryl_and_mwisho_copy
Meryl ambaye ni Mnamibia amejifungua mtoto wa kiume mwishoni mwa May 2014 ambaye
wamemuita ‘King David’.
mwisho2
Meryl akiwa na mtoto wa Mwisho (King David)

Mwisho na Meryl ambao walifunga ndoa mwaka 2011 walifanikiwa kupata mtoto wa kwanza wa kike 2012.
Couple hiyo sasa ina jumla ya watoto wanne, wawili waliowapata kwenye ndoa na wawili waliowapata kabla ya kukutana, mmoja wa Meryl na mmoja wa mwisho.
Cha kufurahisha zaidi katika familia hiyo ni majina ambayo ambayo wamewapa watoto wao waili, mmoja anaitwa ‘Monkey’ na mwingine anaitwa ‘Happy feet’ ambaye ndio mtoto wa kwanza kuzaa na Mwampamba.

No comments:

Post a Comment

ShareThis