Video ya Mwana ya Alikiba ambayo inatoka rasmi leo (Dec.16) itaanza kuonekana exclusive kwenye vituo vinne vya nje ya mipaka ya Tanzania kwa mara ya kwanza.

Kwa mujibu wa promo ambayo Alikiba ameifanya kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii, vituo vitakavyoanza kuionesha video yake kwa mara ya kwanza ni
1 Music Networks na Sound City za Nigeria, NTV ya Uganda, Citizen Tv ya Kenya. Kwa hapa Tanzania itaoneshwa na Clouds TV.
“Video ya #Mwana inatoka kesho Desemba 19, 2014!! !! Kwa upande wa Nigeria na Ghana, ipate EXCLUSIVELY @SOUNDCITYtv
#Mwana video premiers tomorrow December 19, 2014. In Nigeria and Ghana, get it EXCLUSIVELY on @SOUNDCITYtv”
Kupitia TV hizo video hiyo itawafikia watazamaji wa nchi za Nigeria, Ghana, Cameroon, Ethiopia, Angola, Kenya, Uganda, Marekani pamoja na Uingereza.

#Mwana video premiers tomorrow December 19, 2014. In Uganda, get it EXCLUSIVELY on @NTVUganda”
“Video ya #Mwana inatoka kesho Desemba 19, 2014!! Kwa upande wa Kenya, ipate EXCLUSIVELY @citizentvkenya kwenye show Mseto East Africa ya @mzaziwillytuva
#Mwana video premiers tomorrow December 19, 2014. In Kenya, get it EXCLUSIVELY on @citizentvkenya on Mseto East Africa with @mzaziwillytuva”
Kwa mujibu wa promo ambayo Alikiba ameifanya kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii, vituo vitakavyoanza kuionesha video yake kwa mara ya kwanza ni
1 Music Networks na Sound City za Nigeria, NTV ya Uganda, Citizen Tv ya Kenya. Kwa hapa Tanzania itaoneshwa na Clouds TV.
“Video ya #Mwana inatoka kesho Desemba 19, 2014!! !! Kwa upande wa Nigeria na Ghana, ipate EXCLUSIVELY @SOUNDCITYtv
#Mwana video premiers tomorrow December 19, 2014. In Nigeria and Ghana, get it EXCLUSIVELY on @SOUNDCITYtv”
Kupitia TV hizo video hiyo itawafikia watazamaji wa nchi za Nigeria, Ghana, Cameroon, Ethiopia, Angola, Kenya, Uganda, Marekani pamoja na Uingereza.
#Mwana video premiers tomorrow December 19, 2014 EXCLUSIVELY on @1musicnetworks @OfficialAliKiba pic.twitter.com/rF5OFqDn8E
— One Music Networks (@1musicnetworks) December 18, 2014
“Video ya #Mwana inatoka kesho Desemba 19, 2014!! !! Kwa upande wa Uganda, ipate EXCLUSIVELY @NTVUganda#Mwana video premiers tomorrow December 19, 2014. In Uganda, get it EXCLUSIVELY on @NTVUganda”
“Video ya #Mwana inatoka kesho Desemba 19, 2014!! Kwa upande wa Kenya, ipate EXCLUSIVELY @citizentvkenya kwenye show Mseto East Africa ya @mzaziwillytuva
#Mwana video premiers tomorrow December 19, 2014. In Kenya, get it EXCLUSIVELY on @citizentvkenya on Mseto East Africa with @mzaziwillytuva”
No comments:
Post a Comment