Sunday, May 17, 2015

Hii ndio sababu kipindi cha TV cha Rose Ndauka kiliishia hewani

Pamoja na kuwa muigizaji wa filamu, Rose Ndauka ni mtangazaji wa TV.
1074697_560696530695496_181432518_o
Miaka miwili iliyopita alianzisha kipindi chake cha TV kilichopewa jina la ‘Family Talk Show’. Kupitia kampuni yake, muigizaji huyo alianza kurekodi episodes kadhaa za

Jose Chameleone amzawadia meneja wake gari mpya

Muimbaji Dr. Jose Chameleone wa Uganda amedhihirisha kuwa yeye ni boss anayejali wafanyakazi wake, kwa kumnunulia gari mpya meneja wake kama zawadi ya utendaji wake mzuri wa kazi.

Nimeacha utangazaji wa redio kuupa muziki muda zaidi – Vanessa Mdee

Hatimaye Vanessa Mdee ametoa jibu la kile watu wengi walikuwa wakihitaji kusikia kutoka kwake kama bado ni mtangazaji wa Choice FM.
1620771_10153230140804600_7266352837367123946_n
Kupitia mahojiano aliyofanya na kipindi cha Mambo Mseto cha Radio Citizen ya Kenya jana, Vanessa alisema kwa sasa si mtangazaji tena wa redio hiyo ili kuupa nafasi zaidi muziki.
“Nimesitisha kwa muda kazi ya utangazaji ili

Hawa ndio waongozaji wanaofikiriwa kupewa kazi ya kushoot video ya ‘Mapenzi au Pesa’ ya Diamond na Nay

Kifuatacho kati ya Diamond na Nay wa Mitego ni video ya wimbo wao ‘Mapenzi au Pesa’.
11245666_654990684635589_1524834452_n
Na ni waongozaji wawili wanaofikiriwa zaidi kupewa ‘tender’ hiyo.
“Kuna madirector wawili, kuna mmoja kutoka

Picha chafu zampoza Shilole, BASATA lamuonya, lamuita akajieleze, laahidi kuchukua hatua kali

Kinachotokea Ubelgiji hakibaki Ubelgiji peke yake! Picha chafu na kudhalilisha alizopigwa Shilole wakati wa show yake nchini humo zimemponza.
11111519_1423638237948977_1431528597_n
Barala la Sanaa la Tanzania, BASATA limechukizwa na picha hizo na limetoa onyo kali huku likimtaka msanii huyo kwenda kujieleza.

Friday, December 19, 2014

New Video: Alikiba – Mwana

Tazama video mpya ya Alikiba ‘Mwana’ iliyoongozwa na director mkubwa Afrika, Godfather
 http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/07/Alikiba-Mwana-Cover-Done-Mwana-Kimasomaso.jpg

Diamond aweka wazi sababu ya kuachana na Penny

Diamond Platnumz amedai kisa cha kumuacha mpenzi wake wa zamani, Penny ni mrembo huyo kutoa mimba zake.
MONDNAPENY
Muimbaji huyo wa Ntampata Wapi ameiambia Global TV kuwa alipewa sababu ya kutolewa kwa mimba hizo lakini hakuridhika nayo na kudai kuwa story ilikuwa na

ShareThis