Saturday, August 31, 2013

Behind the Scene: 'My Number 1' video ya Diamond akiwa anatengeneza nchini afrika kusini.

hii ni behind the scene ya Video mpya ya Diamond ambayo iligharimu karibuni $ 30,000 hebu Tazama Hii clip ya video hapo chini ndio ujue hiyo hela ya kimarekani ilitumikaje mpaka kukamilisha video...hiyo 
 Bonyeza Read more hapo chini kwa kuona behind the scene video.

Hivi karibuni Mwanamuziki Diamond alikuwa nchini south Africa kwa ajili ya utengenezaji wa video ya wimbo wake mpya unaoitwa "MY number One" ambayo video hiyo aliizindua usiku wa kuamkia jana ambapo alifaya vitu vingi vikubwa ikiwa ni pamoja nakumpa Gari Gwiji wa muziki Mzee Ngurumo....pia alifanya party hiyo bure yaani bila kiingilio.

na hii ni Behind the scene ya video hiyo ambayo natumaini watu wengi bado hamjaanza kuona video yenyewe.

No comments:

Post a Comment

ShareThis