Saturday, August 31, 2013

Video: Lulu akiimba live na bendi wimbo wa Lady Jaydee ‘Yahaya’


Elizabeth Lulu Michael anaweza kuimba. Alithibitisha live jana kwenye uzinduzi wa filamu yake, Foolish Age, pale alipopanda kwenye stage na kuimba kwa ufasaha na Lady Jaydee hit yake Yahaya. Kutokana na kuimba kwa ustadi na bendi ya Machozi, Lulu alituzwa na mvua ya hela na mashabiki, Tazama video.

No comments:

Post a Comment

ShareThis