Thursday, August 29, 2013

Breaking News: Majambazi waliovalia sare za Jeshi la Polisi wamevamia Habib Afriican Bank Kariakoo.


Watu wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi wamevalia sare za Jeshi la Polisi wamevamia
Habib Afriican Bank Kariakoo DSM na kupora kiasi kikubwa cha Fedha.  Jeshi la polisi kanda maalum wamethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Endelea kufuatilia taarifa zetu za habari hapa hapa kwa chochote kitakachoendelea.

tembelea Facebook page yetu: https://www.facebook.com/bongocrunkTz

kwa habari zaidi

No comments:

Post a Comment

ShareThis