Thursday, August 29, 2013

Jux kuzindua video yake mpya Jumapili hii aliyoifanyia China


jux3
Juma Jux msanii anayewakilisha kundi la Wakacha jumapili hii ndani ya 
Club Billicanas anatarajia kuzindua video yake ambayo ameishoot nchini China. Siku hiyo Jux atapewa support ya wasanii kama Vannessa Mdee,Izzo Busness,Mirror,Quick Rocca na mshkaji wake Kamikaze. Siku hiyo show nzima itasimamiwa na B12 kutoka superbrand radio station Clouds FM.
1278192_10200397404398743_431660114_n
Zaidi ya kuangalia perfomance za wasanii hawa wote, watu watakaohudhuria siku hiyo watakuwa wa kwanza kuona video yote ndani ya club hiyoHizi ni baadhi ya picha alizowahi kuzitoa Jux mwenye kutoka kwenye video yake jux1 images.jpg1 8350954ee41b11e2bf9022000a1fb723_7 139feedce4d611e2ab6822000a1fbc38_7 6a531ef6e3fb11e2990022000aeb0f0c_7

No comments:

Post a Comment

ShareThis