Thursday, August 29, 2013

T.I Amkubalia Kendrick Lamar ni mfalme wa New York, ukimtoa Jay Z

Rapper wa Atlanta Georgia, Clifford Joseph Harris aka T.I. amesema ukimtoa Jay Z, ni kweli Kendrick Lamar ni mfalme wa New York.


“Yeye kusema ni ‘King of New York, ni ujasiri. Alisema hivyo na anastahili kwasababu sasa hivi ukimtoa Jay, hakuna msanii mpya aliye na mafanikio ama anayemzidi Kendrick kutoka New York. Hakuna msanii mpya ambaye nyimbo zake zinachezwa zaidi ya nyimbo za Kendrick, New York. Kwa hiyo bila ubishi, yupo sahihi,” alisema T.I. kwenye interview na mtandao wa Vibe.


No comments:

Post a Comment

ShareThis