Tuesday, August 27, 2013

Breaking News: Samaki Samaki ya Mbezi – Makonde, Dar yateketea kwa moto

Kiota maarufu cha starehe jijini Dar es Salaam cha Samaki Samaki tawi la Mbezi – Makonde jijini Dar es Salaam leo kimeteketea kwa moto. Moto huo ambao bado haijafahamika umetokana na nini umeteketekeza kila kitu kwenye mgahawa huo.
1236474_10151809889724763_698680476_n

Samaki Samaki ikiteketekea kwa moto (Picha: Khalid Uledi aka Dj KU, Times FM)
Taarifa zaidi zitakujia baadaye.

No comments:

Post a Comment

ShareThis