Tuesday, August 27, 2013

Wakazi ainogesha video ya ‘Tayari kwa Yote’ na clips za filamu ya ‘Baby Powder’

Si mara nyingi kuona video ya muziki ya msanii wa Tanzania yenye vipande kutoka kwenye filamu za Bongo lakini rapper Wakazi amejiongeza kwenye video yake mpya, Tayari kwa Yote iliyofanyika, Chicago nchini Marekani.
Kwenye video hiyo iliyohaririwa na Karabani, kunaonekana vipande vya filamu ya BabyPowder iliyofanyika nchini Marekani.


No comments:

Post a Comment

ShareThis