Feza Kessi ambaye usiku wa jana baada ya kutoka kwenye mjengo wa Big Brother‘The
Chase’amefanya mahojiano leo na DSTV ambapo pamoja na mambo mengine aliulizwa kuwa akifika nyumbani kitu gani cha kwanza atakachokifanya alisema kuwa atambusu mwanaye aitwaye Jayden.
.
Pia pamoja na hayo alizungumzia kuhusu atakavyojikita kwenye muziki mara baada ya kutoka kwenye shindano hilo.