Monday, August 12, 2013

Cleo ashinda na biblia BBA


 

Mshiriki wa BBA (The Chase) kutoka nchini Zambia Cleo ameonekana asubuhi ya leo jumatatu baada ya...........

 mazoezi ya  akisoma kitabu kitakatifu cha bibilia huku akipata breakfast.
 

Kamera za BBA zilimuonyesha mshiriki huyo akinywa supu huku akiwa ameshika biblia hali inaonyesha kuwa huu ni wakati muafaka wa kumkumbuka Mungu kwani ni saa za majeruhi kwa upande wake.
Mshiriki mwingine ambaye alionekana kuikumbuka biblia kipindi cha mwishoni ni Feza Kessi ambaye alikuwa akisali sana na kulalal nayo ili anusurike kutoka ndani ya mjengo huo.

N.B. washiriki waliopigiwa kura za kutoka wiki hii na wenzao ni hawa hapa ambapo Elikem anaweza akajitoa na kumuweka mtu mwingine
Nominations
Elikem: 5
Bimp: 4
Dillish: 2
Cleo: 1
Beverly :1
Angelo: 1
Melvin: 0

Kwahiyo wanaoweza wakaingia kwenye danger zone wiki ni Bimp,Dillish na Elikem, lakini Elikem ana advantage anaweza akajitoa na kumuweka mtu mwingine

ShareThis