Monday, August 12, 2013

Hii ndiyo orodha ya wasanii watakaotumbuiza kwenye Fiesta – Kigoma


Clouds FM wametangaza orodha ya wasanii watakaotumbuiza kwenye show ya kwanza ya Fiesta mwaka 2013 itakayozinduliwa Jumamosi, August 17 mjini Kigoma.
8818atKigoma
Wasanii waliotajwa kutumbuiza ni pamoja na

 CHEGE NA TEMBA…
                               TID
                             AY&FA                             

 CHEGE NA TEMBA
                 BARNABA
                               
   AMINI
                               
 MWEUSI(JOHN MAKINI
                  LINEX

WENGINE NI HAWA HAPA:

CASSIM
WEUSI(NIKI MBISHI NA G NAKO)
NAY WA MITEGO
GODZILLA
NEYLEE
STAMINA
SHETTAH
SHILOLE
MADEE
RECHO
PETER MSECHU
BABA LEVO
MAKOMANDO
SHOO ITAFANYIKA KWENYE UWANJA WA LAKE TANGANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAR.17

ShareThis