Saturday, August 17, 2013

Nando aanzisha nguo zake, ‘Brotherhood’, kuingia sokoni wiki ijayo

my Nando ameanza kuzitumia fursa nyingi zinazomsubiri baada ya Big Brother Africa, The Chase.
BRDPxj2CQAAHh_e
Mwakilishi huyo wa Tanzania kwenye shindano hilo mwaka huu ambaye kwa sasa yupo
nchini Marekani, ameanzisha clothing line yake iitwayo, Brotherhood.
Ameshare kwenye Twitter picha ya nguo zilizo tayari na kuandika:
BR2XuESCUAAGay2
Clothing Iine DONE..an Empire on the making..y’all ready?#brotherhood #A

No comments:

Post a Comment

ShareThis