Pambano hilo ni la kuwania mkanda wa WBF na kumpata bingwa mpya wa Super Middleweight.
Francis Cheka, ambaye kwa sasa ni bingwa wa IBF Continental Africa anarekodi ya kushinda mapambano 28, 16 ni KO na kushindwa mara saba tu.
Phil “The Drill” Williams, anayetokea Minneapolis, Minnesota, Marekani ana rekodi ya kushinda mapambano 12, 11 KOs na kushindwa mara 5.
Picha: www.superdboxingcoach.blogspot.com
No comments:
Post a Comment