Saturday, August 17, 2013

Video: Feza amuongelea Oneal, Bimp, Pokello, Cleo, Nando, Elikem na maisha baada ya BBA

Feza Kessy alihojiwa jana kwenye kipindi cha Sunrise cha Times FM ambapo pamoja na mambo mengine alizungumza kuhusu uhusiano wake na Oneal baada ya kutoka kwenye jumba hilo, anachotarajia kufanya na mambo mengine. Mtazame kwenye video hii.

    No comments:

    Post a Comment

    ShareThis