Saturday, August 24, 2013

Video: Lucci and Jokate – Kaka Dada

Hatimaye video iliyokuwa ikingojewa kwa hamu wiki nzima, Kaka Dada imetoka. Ni video ya wimbo wa kwanza wa Jokate Mwegelo akiwa na Lucci Da Don aliyeutengeneza. Video ilifanyika tangu February mwaka huu jijini Nairobi na kampuni ya Ogopa.
Enjoy hapa kuangalia video mpya ya Jokate na Lucci “Kaka dada”

Cheki video yao hapo chini





No comments:

Post a Comment

ShareThis