Saturday, September 14, 2013

Picha: Mjengo mpya wa Kanye West na Kim Kardashian ukiwa bado katika matengenezo

Familia ya Kanye West na Kim Kardashian inaonekana iko katika hatua za mwisho za kukamilisha ujenzi kabla ya kuhamia katika mjengo wao wenye thamani ya $11 million.
mjengo wa Kanye
Wazazi wa North West wakiwa ‘site’ wakisimamia ujenzi huo wa jumba lao kubwa la kifahari

Huu ndio mjengo wa Kanye West na Kim Kardashian
Mjengo wa kanye-2

No comments:

Post a Comment

ShareThis