Saturday, September 14, 2013

Picha: Flaviana Matata ang’ara kwa kutangaza nguo za brand ya ‘Kate Spade Saturday’ ya Marekani

fLAVY

Awamu hii ameshiriki kutangaza brand ya Kate Spade Saturday ya Marekani ambayo bidhaa zake ni
pamoja na skirt, top, jeans za kike, mikoti na mikoba. Picha ya Flavy pia ndio inaonekana ya kwanza kabisa kwenye banner ya website yake.
Ingia kwenye website yake hapa kuifahamu zaidi brand hiyo.
Hizi ni picha za Flavy akitangaza nguo za KSS.
C_4CMU0268_572_1_M
C_4CMU0269_362_1_M
C_4CMU0273_719_1_M
C_4CMU0302_481_1_M
C_4CMU0308_719_1_M
C_4CMU0333_001_1_M
C_4CMU0346_001_1_M
C_4CMU0370_001_1_M

   


No comments:

Post a Comment

ShareThis