Friday, September 13, 2013

Song: Diva f/ Stereo & Gosby – Jicho la Huba


Diva The Bawse amewakusanya rappers wawili wakali Tanzania, Gosby na Stereo kumpa

support kwenye ngoma yake mpya, Jicho la Huba. Kwenye ngoma hii iliyotayarishwa na Lamar, Diva anasikika wazi jinsi sauti yake ilivyoiva na kuwa nzuri zaidi. Isikilize hapa, bila shaka utaenjoy.

No comments:

Post a Comment

ShareThis