Wednesday, October 2, 2013

hatimaye Zitto Kabwe azijibu Salamu za Nay wa Mitego

Rita Paulsen aka Madam Rita wa Bongo Star Search na Walter Chilambo tayari wameshazijibu Salamu za Nay wa Mitego na jana ilikuwa zamu ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini,
 

 Zitto Kabwe.

Kwake mbunge huyo, Nay ni msanii wa pili wa Hip Hop anayemkubali zaidi Tanzania baada ya Roma na kwamba anakiheshimu kile alichokisema kwenye wimbo huo kwakuwa ni kazi ya sanaa.
Tazama tweets hizi.



No comments:

Post a Comment

ShareThis