Thursday, October 17, 2013

Jennifer Lopez adaiwa kumpiga chini ‘dogodogo’ wake Casper Smart

Jennifer Lopez na dogodogo wake Casper Smart wanadaiwa kuwa wamemwagana baada ya kudumu kimapenzi kwa kipindi cha miaka miwili.
article-0-18C8A95D00000578-810_634x864
J.LO mwenye miaka 44 anadaiwa kulikatisha penzi na
dancer wake huyo wa zamani mwenye miaka 26, na kumfukuza nyumbani kwake. Hata hivyo kuna vyanzo vingine vimedai kuwa wapenzi hao hawajaachana bado ingawa dalili za kuachana siku za usoni zipo.
article-0-18C8A96400000578-696_634x494
Sababu kubwa ambayo wawili hao wamekaa muda huo ni kwasababu watoto mapacha wa Jennifer, Max na Emme wana uhusiano wa karibu na Casper, kwa mujibu wa EOnline


No comments:

Post a Comment

ShareThis