Thursday, October 3, 2013

Picha:Nakaya akaribia kuitwa ‘Mama’ kwa siku hizi za karibuni.

Hitmaker wa Mr Politician, aliyewahi kuwa mshiriki wa shindano la Tusker Project Fame 2005 pia Nakaaya, anatarajia kuwa mama siku si nyingi.
Nakaaya 2


Nakaaya
Nakaaya amepost picha mbalimbali kwenye mtandao wa Instagram zinazomuonesha jinsi ujauzito wake ulivyokuwa mkubwa.
Nakaaya 4
Nakaaya 5
Nakaaya 2
Nakaaya 3

No comments:

Post a Comment

ShareThis