Wednesday, October 9, 2013

Song: Huu ni wimbo mpya kutoka kwa Iyanya


Iyanya-Suit

Msanii Iyanya amesema kwamba account zake za Twitter pamoja na Facebook zimekuwa hacked na watu wasiojulikana na hivi sasa anafanyika kazi hilo tatizo, lakini zaidi ya hicho kitu kipya kutoka kwa Iyanya ni huu wimbo. Kama ulizipenda Kukere,Ur wrist na Jombolo, basi na huu utaupenda.

 

No comments:

Post a Comment

ShareThis