Leo (Nov 15) Rihanna anatarajia kuachia video mpya ya single yake ‘What Now’, wimbo unaopatikana katika album yake ‘Unapologetic’.
Tazama behind the scenes ya video hiyo ya Riri (25) iliyorekodiwa mwezi (September) alipokuwa katika tour yake ya ‘Diamonds World Tour’ huko Asia Kusini.
No comments:
Post a Comment