Saturday, November 16, 2013

Exclusive Trailer: Justine Bieber ndani na ya Movie na hii ni Trailer ya movie yake mpya.



biber
Christmas hii itakua nzuri kwa fans wa Justin Biber kwasababu kuna ahadi ya kupata zawadi kutoka pop star huyu mwenye umri wa miaka 19.
Mwaka 2011 JB alitoa movie ya
Never Say Never na mwaka huu itakuwa ni zamu ya Believe ambapo kama movie iliyopita, movie hii itahusisha maisha Justin akiwa kwenye kazi zake za kimuziki na mambo mengine binafsi, Believe pia imehusisha tour zake, shows, recording session na maisha na familia yake.
Picha litaanza kuonekana Dec 25 duniani kote na wakati ukiendelea kuisubiria tazama kwanza hii trailer hapa chini…..

No comments:

Post a Comment

ShareThis