Saturday, November 16, 2013

Je? Ni kitu gani kilichomfanya Ray kujibadilisha kiasi hichi, Tazama picha tano za muonekano wake mpya.

rayray
Muonekano huu unaenda kuuona wa muigizaji na director wa bongomovie “Vicent Kigosi”unahusisha kubadilisha rangi ya
nywere zake, tatoo kubwa kwenye mikono yote miwili na mavazi kama msanii wa bongoflava.
Yeye mwenyewe kwenye picha moja wapo aliandika caption ya “Je nageukia bongoflava au kuna nini kinakuja?”. Jinsi inavyoonekana ni moja ya maandalizi ya movie mpya kutoka RJ Company.
r1
r2
r3
r4
r5

No comments:

Post a Comment

ShareThis