Friday, November 8, 2013

Haya ndio maneno mazito yaliyomtoka Huddah baada ya Prezzo kuanza uhusiano mpya na Huyu mwanadada wa kitanzania

STAA wa BBA’The Chase’kutoka nchini Kenya Huddah Monroe amemchana aliyekuwa mpenzi wake msanii asiyeisha vituko Prezzo kupitia mtandao wa
instragram baada ya Prezzo kupost picha akiwa amepiga na Huddah huku akiandika maneno haya…“Funny how sme past dnt wanna be tense……welcome 2 my future….
Huddah Monroe alishindwa kuvumilia na kuamua kutoa comment nzito inayosema “Una future gani wewe? Mwanaume mzma hela hauna, @Prezzo254 , Broke as he’ll still living under ya moms roof…..Wacha kujiaibisha, sitaki nikuaibishe mbwa koko. Respect yourself!”.

No comments:

Post a Comment

ShareThis