Tuzo hizi za gazeti la Mwanaspoti zimetolewa November 8 2013 Dar es salaam Tanzania.
Ufungaji bora – Kipre Tchetche, Mwanasoka bora ni Haruna Niyonzima, Mchezaji bora wa
Tanzania anaecheza nje ni Mbwana Samatta, Tuzo ya bao bora amechukua Thomas Ulimwengu wa TP Mazembe, Kipa mpya wa Yanga Juma Kaseja amechukua tuzo ya wachezaji 11 bora, mwingine aliechukua tuzo ya wachezaji 11 bora ni Amri Kiemba.
Leodgar Tenga alishinda tuzo ya Utawala Bora, Tuzo ya 11 Bora pia Kipre Tchetche wa Azam FC alipewa.
Mwanahaisi Omar ndio mchezaji Bora wa Kike,
Umeonaje tuzo hizi mtu wangu? una maoni yoyote?
Stori hii pamoja na picha, vyote vimeandaliwa na Mwandishi wa habari za michezo Bin Zubeiry wa bongostaz.blogspot.com
No comments:
Post a Comment