Picha za mshindi wa dunia wa Miss Universe 2013 na picha za warembo wengine akiwemo wa Mtanzania
Gabriela
Isler ambae ni Miss Universe Venezuela 2013 akivishwa taji na mshindi
wa mwaka 2012 Olivia Culpo baada ya kutangazwa kwamba ndio mshindi wa
shindano hili la dunia kwa mwaka huu likiwa limeshirikisha nchi 80. Baadhi ya picha za backstage Warembo wakiwa kwenye gauni la jioni. Miss Universe 2013 Brazil Miss Universe 2013 kutoka Great Britain Miss Universe Philippines 2013 Huyu hapa juu ni Miss Universe 2013 kutoka U.S.A Mtu wetu wa nguvu kutoka Tanzania Betty Omara. Hapa juu ni Miss Universe 2013 kutoka South Africa.
Picha zote kutoka Reuters.
No comments:
Post a Comment