Monday, November 11, 2013

MTV EMA 2013: Eminem awashinda Jay Z, Kanye West na Drake katika kipengele cha Best Hip Hop (orodha kamili)


Mastaa mbalimbali wa muziki jana (Nov 10) walihudhuria tukio la ugawaji wa tuzo za ‘MTV Europe Music Awards 2013’ zilizotolewa katika mji mkuu wa Uholanzi, Amsterdam. Baadhi ya majina maarufu ya wasanii waliopokea tuzo jana ni pamoja na Justin Bieber, Beyonce , Miley Cyrus, Bruno Mars na Eminem.
MTV-EMA-2013
Rapper Eminem aka Slim Shady aliwashinda Jay Z, Drake pamoja na Kanye West waliokuwa wanawania tuzo moja katika kipengele cha
‘Best Hip Hop’.
eminem-mtv-emas-2013-performance
Eminem
Mastaa wengine ambao hawakuambulia chochote ni pamoja na Justin Timberlake ambaye alipendekezwa katika vipengele vitano lakini hakupata hata tuzo moja. Wengine waliokosa ni Rihanna, Lady Gaga, Alicia Keys na wengine.
miley
Miley Cyrus akivuta bangi jukwaani wakati wa kupokea tuzo yake MTV EMA 2013
Matukio kama haya ya tuzo huwa hayakosi vituko, Miley Cyrus alikuwa ni miongoni mwa wasanii walioperform na kupata tuzo, wakati akipokea tuzo yake alitoa bangi kwenye mkoba wake akawasha na kuvuta puff moja jukwaani kama sehemu ya kusheherekea.
Tazama orodha kamili ya washindi na waliokosa
Best Song
WINNER: Bruno Mars – Locked Out of Heaven

Daft Punk – Get Lucky (feat. Pharrell Williams)
Macklemore & Ryan Lewis – Thrift Shop (feat. Wanz)
Rihanna -Diamonds
Robin Thicke – Blurred Lines (feat. T.I. & Pharrell)
Best Pop
WINNER: One Direction

Justin Bieber
Katy Perry
Miley Cyrus
Taylor Swift
Best Female
WINNER: Katy Perry

Lady Gaga
Miley Cyrus
Selena Gomez
Taylor Swift
Best Male
WINNER: Justin Bieber

Bruno Mars
Eminem
Jay Z
Justin Timberlake
Best Live
WINNER: Beyonce

Green Day
Justin Timberlake
P!Nk
Taylor Swift
Best New
WINNER: Macklemore & Ryan Lewis

Bastille
Icona Pop
Imagine Dragons
Rudimental
Best Rock
WINNER: Green Day

Black Sabbath
Kings of Leon
Queens of the Stone Age
The Killers
Best Alternative
WINNER: Thirty Seconds to Mars

Arctic Monkeys
Fall Out Boy
Franz Ferdinand
Paramore
Best Hip Hop
WINNER: Eminem

Drake
Jay Z
Kanye West
Macklemore & Ryan Lewis
Best Electronic
WINNER: Avicii

Afrojack
Calvin Harris
Daft Punk
Skrillex
Best Look
WINNER: Harry Styles

Justin Timberlake
Lady Gaga
Rihanna
Rita Ora

Best Push
WINNER: Austin Mahone

A$AP Rocky
Bastille
Bridgit Mendler
Icona Pop
Iggy Azalea
Imagine Dragons
Karmin
Rudimental
Tom Odell
Twenty One Pilots
Best World Stage
WINNER: Linkin Park

Alicia Keys
The Black Keys
Fun.
Garbage
Green Day
Jason Mraz
Jessie J
Macklemore & Ryan Lewis
No Doubt
Paramore
Rita Ora
Robin Thicke
Snoop Lion
The Killers

Worldwide Act
WINNER: Chris Lee

Ahmed Soultan
Bednarek
Cody Simpson
Exo
Fresno
Justin Bieber
Lena
Marco Mengoni
One Direction
Biggest Fans
WINNER: Tokio Hotel

Justin Bieber
Lady Gaga
One Direction
Thirty Seconds to Mars
Best Video
WINNER: Miley Cyrus – Wrecking Ball

Justin Timberlake – Mirrors
Lady Gaga – Applause
Robin Thicke – Blurred Lines (feat. T.I. & Pharrell)
Thirty Seconds to Mars – Up in the Air

Artist on the Rise
WINNER: Austin Mahone

Ariana Grande
Cher Lloyd
Cody Simpson
Bridget Mendler
Lorde


No comments:

Post a Comment

ShareThis