Monday, November 11, 2013

Diamond kushoot video mbili nchini Nigeria, moja na Davido na nyingine na Iyanya


Diamond Platnumz yupo nchini Nigeria alikoenda kufanya video ya remix ya My Number One aliyomshirikisha Davido pamoja na ya wimbo mwingine aliomshirikisha Iyanya. Nyimbo hizo mbili walizirekodi mwezi uliopita baada ya wasanii hao wa Nigeria kuja nchini kutumbuiza kwenye show ya Fiesta.
page
Akiongea na Millardayo.com Diamond alisema pamoja na kufanya wimbo na
Davido, alimshirikisha pia Iyanya kwenye wimbo mwingine kabisa japokuwa watu wengi hawafahamu kuhusu collabo hiyo.
Alisema lengo lake kubwa lilikuwa si kufanya collabo tu bali anasema alitaka kujenga ukaribu na wasanii wa Nigeria na ndio ameamua kwenda kufanya video huko huko.

No comments:

Post a Comment

ShareThis