Sunday, November 17, 2013

Picha za Nikk wa pili akiwa ame-graduate Master of Arts in development management tarehe 16 mwezi huu.

Imekuwa ngumu sana kuona wanamuziki wengi wakiwa wamevalia joho la graduation baada ya kuhitimu elimu ya juu, lakini Nikk wa pili wa kundi la Weusi kutokea kasakzini jana tarehe 16/11 aliamua kuonesha kuwa muziki ni pamoja na elimu soon baada ya kumaliza masomo yake katika chuo kikuu cha Dar es salaam.


















No comments:

Post a Comment

ShareThis