Saturday, November 16, 2013

Exclusive: Hatimaye Video model wa "LOVE ME" ya Izzo bizness aibuka miss Mzumbe University 2013-2014


The beuty is beuty: imethibitishwa na mrembo Miriam M kimwaga amabaye aliwahi kuwa video model wa nyimbo ya Love Me ya izzo bizness
Mrembo huyo ameweza kuthibitisha kuwa hakuwepo kimakosa kwenye video bali anastahili na hii ni baada ya jana kuvishwa taji la miss Mzumbe university iliyopo mkoani morogoro
miriam ni mwanafunzi wa chuo hicho ambapo anachukua
bachelor of Law akiwa katika mwaka wa pili chuoni hapo..
Shindano hilo la miss Mzumbe liliamabatana na tukio la kuwa karibisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza chuoni hapo.
Hii ni list ya Tatu bora waliwofanya michuano hiyo ndani ya ukumbi wa Tanzanite complex ambapo mshindi alipatikana Miriam (katikati) .
Picha inayoonesha Mshindi wa miss Mzumbe university akiwa kwenye picha ya pamoja na majaji walioongoza Shindano hilo.

Ukumbi wa Tanzanite complex ambako ulifanyikia Mashindano hayo uliopo mkoani morogoro,ni moja ya ukumbi maarufu sana mkoani hapo.

clip_image002[20]
Hii ni picha inayomuonesha Miriam akiwa kwenye utengenezaji ya Video ya 'Love me' ya Izzo bizness ambapo ilikuwa ni mara yake ya kwanza kuwa Video modeling na aliweza kupendezesha video hiyo nakuweza kukamata hits nyingi sana katika chanell nyingi za Tv ndani na nje ya nchi.

hii ndio video aliyoweza kuonekana mrembo miriam

No comments:

Post a Comment

ShareThis