Wednesday, January 15, 2014

Hii ndiyo Video ya Ciara akithibitisha kuwa anatarajia kupata mtoto na rapper Future.

ciara2
Baada ya uhusiano wao hadi kuvalishana pete ya uchumba na rapper Future,hatimaye Ciara anategemea kuwa mama.
Ciara akiwa kwenye show ya
The View aliulizwa kwamba kulikuwa na tetesi kuhusu yeye kuwa mjamzito na angependa kuthibisha?.
Ciara akajibu ,”Ndiyo ningependa” na akaonyesha tumbo lake kama anavyoonekana kwenye hii video.


Ciara mwenye miaka 28 atapata mtoto wake wa kwanza lakini Future atapata mtoto wa nne kwasababu aliwai kupata watoto watatu hapo zamani.
ciara3
ciara22

No comments:

Post a Comment

ShareThis