Tuesday, March 18, 2014

Wema Sepetu avunja rekodi ya Instagram kwa Post aliyoweka Leo.


Picha ya Diamond Platnumz inayomuonesha akiwa amelala na huku shavuni kukiwa na lipstick za mwanamke iliyowekwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Wema Sepetu, imevunja rekodi ya mtandao huo kwa Tanzania kwakuwa na comments nyingi zaidi.
 Tazama alichokipost kwenye instagram yake hapo chini......






30be5d5eabd811e38f071285a6421f42_8
Hadi sasa picha hiyo ina comments 1,786 na hivyo kuizidi picha nyingine aliyoiweka mwezi uliopita ambayo ndio ilikuwa picha ya kwanza inayomuonesha Wema akiwa na Diamond tangu warudiane. Picha hiyo ilipata comments 1,601.
Wakati huo huo Diamond ndiye staa wa Afrika Mashariki mwenye followers wengi zaidi kwenye Instagram (ukimtoa Lupita Nyong’o mwenye followers 930,744, au wengine wanaoishi diaspora). Hadi sasa staa huyo ana followers 95,900+ akifuatiwa na mpenzi wake Wema mwenye followers 82,870+.


No comments:

Post a Comment

ShareThis