Sunday, April 13, 2014

The Sporah Show: Mzungu Kichaa alipozungumzia uvumi wa kuwa na Uhusiano na Salama Jabir, na kumponda Alikiba (Video)


Kama hukubahatika kuiona hii ndio Interview ya Mzungu Kichaa aliyofanyiwa na Sporah, ambapo pamoja na mambo mengine msanii huyo wa Denmark alizungumzia kuhusu uvumi kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na mtangazaji wa kipindi cha Mkasi Salama Jabir, pamoja na alivyomponda Alikiba kwa kudanganya kupata show ya Milioni 100 Ujerumani.http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/04/mzungu2.png


No comments:

Post a Comment

ShareThis