Tuesday, May 20, 2014

Tazama yaliyojiri kwenye shindano la Kumpata Miss inter-colloge Morogoro.


Tazama baadhi ya matukio na picha za kwenye shindano la kumtafuta Miss inter-college huko mkoani morogoro lilofanyika Ijumaa ya Tarehe 16 May, ambapo washindi walichuana mpaka kupatikana
tatu bora na mwishoe kumpata mshindi  alistahili nafasi hiyo.


Shindano hilo liliwakilishwa na  warembo kutoka vyuo mbali mbali vikiwemo :-
MZUMBE, ST.JOSEPH, MSJ, SUA na JORDAN ambalo lilifanyika katika ukumbi wa
NYUMBANI PARK mkoani morogoro na Kupatikana Mshindi wa kwanza anaeitwa
ERIMYTE MERECK anaetokea Chuo cha ST.Joseph  akifatiwa na mshindi wa Pili pamoja na watatu, ambao kila mmoja aliondoka na zawadi yake inayoendana na ushindi alioupata.

-Mshindi wa tatu- Alipata Home theater.
-Mshindi wa Pili Alipata Fridge
- Mshindi wa Kwanza alieondoka Kidedea na  zawadi Nono ya Laptop.

Tunda man akitoa Burudani kwenye shindano hilo.

Baadhi ya washiriki wa shindano hilo wakiwa stejini
Washindi wa kwanza, wapili na watatu wakiwa kwenye picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

ShareThis