Sunday, June 8, 2014

Tazama tamasha la nyama choma lilofanyika jana kwenye viwanja vya Posta Kijitonyama.


 Wadau ndani ya Tamasha la Nyama Choma,toka kulia ni Dimo Dibwe,Carol Ndossi (Muandaaji wa Tamasha hilo la Nyama Choma) pamoja na Mdau Edwin MacTemba.
 Wadau wakibadilishana Mawazo ndani ya Tamasha la Nyama choma.
 Nyama ikiendelea kuiva jikoni huku walaji wakiendelea kuimezea Mate. 
 Mtaalam wa kuchoma nyama toka jamii ya Kimasai akitest mzigo kama uko poa.
 Wadau wakiendele kutafuna nyama huku zingine zikiendelea kuiva taratibu.
 Maandalizi ya Nyama yakiendelea.
 Mshkaki maridadi kabisa.
 Mbuzi mwanana kabisa kaning'inizwa.

 Wadau mbali mbali wakiwa ndani ya Tamasha hilo la Nyama Choma. 
 Mapacha watatu wakizikonga vyema kabisa nyoyo za mashabiki wao waliofurika kwa wingi kwenye Tamasha hilo la Nyama Choma.
 Mie na Mdau Pascal Mabagala
 Wadau. 
 Mwanalizombe asilia,Prof. Jay na wadau.
kazi ikiendelea. 

No comments:

Post a Comment

ShareThis