Sunday, May 11, 2014

Young Killer aachia video yake ya kwanza aliyoifanya mwaka 2008


Msanii wa Hip Hop kutokea pande za Mwanza Young Killer Msodoki amechia video yake ya
kwanza ‘Tunaumia’ iliyofanywa mwaka 2008 akiwa Mwanza.
Young Killer ameiambia Bongo5 kuwa ameamua kuiachia video hiyo ambayo aliifanya akiwa na umri wa miaka 15 kwakuwa mashabiki hawakupata nafasi ya kuiona.

icheki video hiyo hapa



No comments:

Post a Comment

ShareThis