Sunday, April 13, 2014

Tanzama jinsi Drake alivyobadilishwa sura na kuingia mtaani akijifanya Mwandishi wa habari



dfff
Msanii Drake amebadilishwa sura kwa kubandikwa ndevu za bandia na kuvalishwa
wigi ambapo vyote hivyo vimempa muonekano tofauti kabisa na alivyozoeleka.
Alichokifanya ni kuingia mitaani na kuwauliza watu maswali kuhusu yeye na baadhi yao wamemuongelea vibaya bila kujua wanaongea na Drake mwenyewe.
Screen Shot 2014-04-12 at 12.59.02 PM

Angalia hii video hapa Juu jinsi mambo yalivyokwenda
ddddddddddddddddddddddd

No comments:

Post a Comment

ShareThis