Sunday, April 13, 2014

Tazama baadhi ya Picha za Jux akiwa Onset huko China akiandaa Video yake Mpya "Nitasubiri"

1
Msanii Jux wa bongofleva kabla hajaondoka kwenda China safari hii, alisema atautumia muda wake akiwa huko kushoot video ya wimbo wake mpya “nitasubiri” ambao wiki kadhaa zilizopita alikiri kwamba
wimbo huo amemuimbia mpenzi wake (Jackie Cliff) anaedaiwa kufungwa gerezani China kwa ishu za dawa za kulevya.
Hizi ni picha za siku ya kwanza ya shooting hiyo huko China ambako ndiko alikofanya ile video ya ‘uzuri wako’ iliyotolewa kushiriki tuzo za KILI 2014 kutokana na kukiuka maadili ya Kitanzania.
2
3
4

No comments:

Post a Comment

ShareThis