Sunday, May 11, 2014

Huyu ndiye Msanii wa kike pekee anayekesha Angani kila siku...soma hapa


shilole vibe 5

 

 Msanii Zuwena Mohamed also known as Shilole ndio msanii anayengoza kwa kukesha kwenye ndege kwa sasa ukiondoa Diamond Platnumz mwenye show nyingi nje ya nchi. Kwa upande wa wanawake ni Shilole, mwanadada huyo alienda London mwaka jana na pia kwenda marekani kukamua vibaya sana . Aliporudi tu alienda Dubaii na kwa sasa mkali huyo wa mduara yuko ndani ya Oman kwa mapumziko na ameliambia vibe kwamba akirudi anampango wa kusafiri tena sema hayuko tayari kuweka wazi mpaka atakapo rudi nchini. Zuwena akiwa true meaning ya mwanamke mtafuaji, big up kwake kwa kuisambaza sanaa ya bongo.

No comments:

Post a Comment

ShareThis